✍🏾 NAFASI 400 ZA AJIRA QATAR – MADEREVA WA MABASI NA MALORI MAKUBWA! Kupitia ushirikiano na Kampuni yetu Tanzu, Imara horizon, madereva 400 wanahitajika kwenda kufanya kazi nchini Qatar chini ya kampuni ya Mowasalat. 📔Faida: ✅ Visa, nauli ya ndege, na gharama zote muhimu zitalipiwa kikamilifu. ✅ Mafunzo ya kitaalamu ya udereva ✅ Malazi, matibabu na bima ya maisha zitatolewa. ⚠️ Hakuna malipo yoyote muombaji atagharamia . Bonyeza link hii https://mkapafoundation.or.tz/index.php/international-career/ na ujaze taarifa zako muhimu. Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 15. 04. 2025.