✍🏾NAFASI 400 ZA AJIRA QATAR – MADEREVA WA MABASI NA MALORI MAKUBWA!
Kupitia ushirikiano na Kampuni yetu Tanzu, Imara horizon, madereva 400 wanahitajika kwenda kufanya kazi nchini Qatar chini ya kampuni ya Mowasalat.
📔Faida:
✅ Visa, nauli ya ndege, na gharama zote muhimu zitalipiwa kikamilifu.
✅ Mafunzo ya kitaalamu ya udereva
✅ Malazi, matibabu na bima ya maisha zitatolewa.
⚠️ Hakuna malipo yoyote muombaji atagharamia.
Bonyeza link hii https://mkapafoundation.or.tz/index.php/international-career/ na ujaze taarifa zako muhimu.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 15. 04. 2025.
Comments
Post a Comment