Posts

Showing posts from April, 2025

Anaitajika araka sana

 🎤 Anahitajika muuzaji wa Duka La Dawa (DLDM)  Either nurse, addo, pharm,med.att, etc  jinsia ;ke Location: same-Kilimanjaro  Mshahara: 150,000  Chakula na malazi ni juu ya boss Contact; 0673485659

✅ NAFASI ZA KAZI MPYA

  Kama unajua umesomea . HR .Accountant .Secretary Tunaomba mtutumie cv zenu sasa hivi. Vigezo vya kazi uwe na experience ya mwaka mmoja na kuendelea Cv utatuma kwenda email ya cvroom44@gmail.com   Tuma mapema maombi nafasi ni chache. Wadada mnashauriwa kuapply position hizi
  ✍🏾 NAFASI 400 ZA AJIRA QATAR – MADEREVA WA MABASI NA MALORI MAKUBWA! Kupitia ushirikiano na Kampuni yetu Tanzu, Imara horizon, madereva 400 wanahitajika kwenda kufanya kazi nchini Qatar chini ya kampuni ya Mowasalat. 📔Faida: ✅ Visa, nauli ya ndege, na gharama zote muhimu zitalipiwa kikamilifu. ✅ Mafunzo ya kitaalamu ya udereva ✅ Malazi, matibabu na bima ya maisha zitatolewa. ⚠️ Hakuna malipo yoyote muombaji atagharamia . Bonyeza link hii https://mkapafoundation.or.tz/index.php/international-career/ na ujaze taarifa zako muhimu. Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 15. 04. 2025.